Akiba ni mfumo rahisi wa kidijitali kwa SACCOS, VICOBA na vikundi vya ushirika. Sajili wanachama, kumbuka michango, toa mikopo, fuatilia marejesho — yote kwenye simu yako.

Vipengele vinavyofanya kazi ya hazina iwe rahisi — bila daftari.
Sajili na hariri taarifa za wanachama wote.
Kumbuka michango ya kila mwezi kwa kila mwanachama.
Toa mikopo na fuatilia salio na muda wa kurejesha.
Ripoti za uwazi kwa ajili ya vikao vya kikundi.
Jisajili kwa dakika moja kwa kutumia barua pepe na nenosiri.
Ongeza wanachama, weka mchango wa mwezi na anza kurekodi.
Pokea michango, toa mikopo, kumbuka marejesho — popote ulipo.
Taarifa zako zimehifadhiwa kwa siri kwenye kifaa chako.
Imejengwa kwa simu — install kama app kwenye home screen.
Mfumo wote kwa lugha unayoielewa vizuri.